Mkuu ukishaoa acha kujichua

Mkuu ukishaoa acha kujichua

Wanaosema hiyo kitu inamaliza nguvu za kiume wanazidi kuumbuka, jamaa ana watoto mke ana mimba na bado anajichukulia sheria mkononi anawakilisha vyema chama cha chaputa
 
Habari wakuu,
I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza zaidi pia jinsi nikitafakari kuwa ana mke na ana watoto wawili mapacha wana mwaka mmoja na bado mkewe ana mimba ndo anazidi kunikwaza[emoji35][emoji35][emoji35].

Hapa natamani kumchana live ila naona noma. Lengo hapa ni kwamba pengine kama yupo humu aone huu uzi aache tabia yake ya hovyo, Mtu una mke na watoto na mke ana mimba ila bado una unaendeshwa na nyege kama mpumbavu je, sisi single tufanye nini?, Ukishindwa kujizuia basi tafuta pa kufanyia hayo madude yako sio vyooni... Mtu unaingia bafuni unapishana na harufu ya bao[emoji35]

Na huku kama kuna mtu ana pigo hizo aache bana maana haijakaa poa mtu una mke na bado unajichua sasa maana ya mke ni nini?

Bullshit[emoji35]
Acha ramli chonganishi.ungemueleza huyo mwamba live.miamba mingine huku inakuhusu nini wanapokua wanakazia kimoko kwa kujichua mkuu?
 
we hushai? mpumbavu wewe? huna dem, dada, kaka, mama wala yeyote unaeshare nae we mzima kweli mkuu?
Unaongea kwa authority kumbe una share bafu & vyoo na majirani, mpuuzi sana wewe, katafute hela uanze kutumia bafu lako peke yako
 
ngoja nifanye hivyo
Mkuu _Flames chukua mkaa then andika katangazo kadogo ukutani humo bafuni, muambie anachofanya sio kitu kizuri kuchafua mabafu. Hope atajishtukia na kuchange utaratibu.
 
kha ila mbona mimi niliwahi kuishi na mwanamke na hata hamu na muda wa kupiga sikupata kabisa.... na sasa naishi peke yangu na bado sipigi punyeto nikionana na papuchi mara mojamoja naridhika tu siku zinasonga sasa huyu yupo na papuchi analala nayo anaamka nayo shida ipo wapi?
Labda kwakuwa tatizo anapigia nyeto chooni.

Huyo jamaa anapiga nyeto kwa sababu wanawake wenye mimba wanakuwaga wamechoka choka, wanawahi kulala, wakali wakali. Kwa kifupi jamaa hapati huduma.

Sasa huyo jamaa ni muoga wa magonjwa au kwenda kununua wanawake kwenye madanguro, au jamaa hana hela ya kumiliki spea, au ni mshika dini sana anahisi akichepuka atatenda dhambi.

Kikubwa muokoe huyo jamaa kwa mshauri aache hiyo tabia ni bora aende kwenye madanguro akapige kimoja kwa kondomu ambacho ni sawa na hiyo nyeto yake tu, maana akiendelea kupiga nyeto atapungukiwa nguvu za kiume, na mke wake akipona atashindwa kumridhisha.
 
Ungekuwa umeinvest kwenye mambo yako, usingekuwa unashare public toilet na wapangaji wengine.
 
me hayo mengine atajua mwenyewe me nataka usafi tu maliwatoni.
 
Ungekuwa umeinvest kwenye mambo yako, usingekuwa unashare public toilet na wapangaji wengine.
haha low mind sana mkuu, huwezi epuka kushare vyoo na mtu mkuu hata ukiwa na kwako utashare tu na marafiki ndugu na jamaa cha muhimu ni usafi ndo point yangu.
 
nimesema uKweriii Kabisa Kuoaa Kutaufanya upunguze tuu yani lile ni PEPOO bila maombi na Kudhamiria Kuachaa HUACHII mkuu utapunguza tu
ila ni kweli
 
Back
Top Bottom