Mkuu ukishaoa acha kujichua

dogo,

huku watakwambia acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu.

ni kama huyo jamaa aje alalamike wewe kwanini uko single au hanithi?
 
Tuseme anasababisha follen bafuni? Kujichua ni kazi na inachukua mda. Ndani kwa watu, labda mke wake hamtimizii ipasavyo akaamua kujiongeza.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli dume linapaswa kuwa na majike kadhaa, unaona sasa matatizo hayo, mke ana watoto wadogo na mimba juu, sasa hapo mwamba atapata huduma kweli?
Mkuu addiction ni mbaya kuliko sigara. Trust me.
Wengine punyeto wameijulia humu. Jamani tujengewe sobber houses.
 
Punyeto ni njia rahisi na salama ya kuchepuka. Haina gharama tofauti na vitisho vya motiveshono sipikas
 
dogo,

huku watakwambia acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu.

ni kama huyo jamaa aje alalamike wewe kwanini uko single au hanithi?
kuwa single ni maamuzi mzee, na sijasema sidinyi... ila mtu akiamua kuoa aache kujichua
 
Punyeto ni njia rahisi na salama ya kuchepuka. Haina gharama tofauti na vitisho vya motiveshono sipikas
hapana sio vitisho mkuu, punyeto ina madhara kweli
 
Mbona katumia uamuzi wa busara je akiamua kuwapakua wote humo ndani
 
Acha apige nyeto,wanawake wenyewe hawa wa kibongo ukiwatokea wanalia shida kama nyuki,hawajala,hawajasuka,hawaba vifurushi.NB mshauri akishanyetuka asafushe mabao yake
 
Utaishi maisha marefu sana
 
Acha apige nyeto,wanawake wenyewe hawa wa kibongo ukiwatokea wanalia shida kama nyuki,hawajala,hawajasuka,hawaba vifurushi.NB mshauri akishanyetuka asafushe mabao yake
sasa usafi basi ukimaliza
 
Wewe jamaa una matatizo acha kufuatilia maisha ya watu...
Hiyo mimba ya mke wake inamiez mingapi? Inaonekana wewe umekaa kimbea sana
 
Hachafui bafu, wengine ni waungwana, haachi uchafu wake, anaondoa mpaka tone la mwisho. Sema anachukuwa mda.
 
daah! jamaa anapiga selfie!
 
Wewe jamaa una matatizo acha kufuatilia maisha ya watu...
Hiyo mimba ya mke wake inamiez mingapi? Inaonekana wewe umekaa kimbea sana
hapana mkuu nimekaa kiarusha, habari hizo za kuhoji miezi ya mimba ndo zenu wambeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…