Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Habari wakuu,
I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana.
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza zaidi pia jinsi nikitafakari kuwa ana mke na ana watoto wawili mapacha wana mwaka mmoja na bado mkewe ana mimba ndo anazidi kunikwaza😡😡😡.
Hapa natamani kumchana live ila naona noma. Lengo hapa ni kwamba pengine kama yupo humu aone huu uzi aache tabia yake ya hovyo, Mtu una mke na watoto na mke ana mimba ila bado una unaendeshwa na nyege kama mpumbavu je, sisi single tufanye nini?, Ukishindwa kujizuia basi tafuta pa kufanyia hayo madude yako sio vyooni... Mtu unaingia bafuni unapishana na harufu ya bao😡
Na huku kama kuna mtu ana pigo hizo aache bana maana haijakaa poa mtu una mke na bado unajichua sasa maana ya mke ni nini?
Bullshit😡