Acha uchoyo ndugu.Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
😂😂...ulifikiri mimi kijana wa Dar? Yaani nyanda ya Kinyantuzu uilishe kasahani kamoja?Umenikosea sana Mkuu, usije tena kwangu.
Sawa Lolo..ila nitakuwa akiwa shemejiMkuu, sitaki kukuona tena kwangu.
basi nisamewe halafu .nyoosha kiswahili mi nikijiskia nipo nyumban si nafanya loloteUmenikosea sana Mkuu, sitaki kukuona tena kwangu.
🤣🤣🤣🤣🌅Nakualika kama mtu wa karibu.