dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
ukirudia tena nalamba kipoti chote...na jikoni naenda kufata ukoko,tusileteane masihara tangu lini mtu anapika robo tatu siku ya sikukuuNakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.