Mtoa mada ni MUONGO MKUBWA, SAUT hakuna lecturer anayeitwa SLAA, ametumia jina la watu vibaya. Tujihadhari na taarifa hizi kwani ni za uongo
Acha kudanganya bwana,mtoa mada.. nani kakudanganya kama mkuu wa chuo cha SAUT amejiuzuru kwa sababu za kijinga kama hizo. Kwa akili zako zilivvyo fupi,wewe ungeweza kuwatetea watu waliokamatwa wanaibia mitihani na wamekiri au unaweza kuwatetea watu wanaopewa ada na kwenda kufanyia biashara halafu hawalipi kwa wakati huku miradi ya chuo kama ukumbi na bweni la wasichana imesimama. Think twice bwana,yule ni dokta na padri pia. Sasa nakufahamisha usioyajua. Makamu mkuu wa chuo kabla hajateuliwa alikuwa Principal wa Bukoba,na Maprincipal wote wa vyuo vya SAUT ni members waalikwa wa BOARD OF TRUSTEE na UNIVERSITY SENATE ambayo ndo hupendekeza hiyo PENALTY na BOARD OF TRUSTEE ambayo ndo chombo cha mwisho cha maamuzi ndo walioamua hao 8 wafukuzwe chuo akiwemo VC wenyewe ambaye pia ni mwenyekiti wa Discipline commette. Sasa atapingaje kitu mbacho alishiriki kukiamua. Uwe unauliza kabla ya kuleta mada, fualitia mchakato uliofanyika kumpata VC na watu walipendekezwa halafu wakakatiliwa akapita yeye,hao ndio sababu ya yeye kujiuzuru sasabu wapo nae mpaka sasa na hawampi ushirikiano wa kutosha..kama upo SAUT unaweza kuwa shuhuda wa kutosha khsu kusimama kwa mambo mengi hasa majengo na kuongezeka kwa madeni ya chuo..na alishajiuzuru toka January ila alikuwa anasubiri idhini ya tume ya maaskofu 4 iliyoundwa kufanya uchunguzi wa sbb alizotoa..
Kama kawaida yenu mapadre kuficha ukweli kwa ufanisi na utashi wa hali ya juu sana..! Niwatu mnao uogopa sana ukweli unaowadhalilisha mnacho kifanya nikucheza na mind za audience wenu.
Sio muda mrefu tutasikia aliekuwa VC wa SAUT amepelekwa Ufaransa kuna kazi muhimu kaenda kuifanya.
Mwaka jana nimemaliza SAUT, wale mapadre wanapiga dili la pesa kwa wanafunzi wao....Kunajamaa alipigwa penalty la laki1 kwa deni la Sh.2500 ambapo jamaa alijichanganya mahesabu akajua amemaliza tution fee kilipofika kipindi cha mitihani anaenda kufuata exams ID anaambiwa anadeni la Sh.2500 ambayo anatakiwa kulipa na penalty ya100000 kwa kushindwa kumeet deadline....it is paining!!!
Sina hakika kama huyo mleta maada ndiye mwenye hilo jina hapo chini, ila huyo Silaa ndiye aliekuwa supervisor wangu wa research mwaka jana na alinifundisha research methodology nilipo kuwa mwaka wa pili...
unafundisha kozi gani hapo mkuu?
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe penalty,source mimi mwenyewe lecturer naitwa slaa
public relation

Hata unachokifundisha hujui kinaitwaje, ...Relation au ...Relations???!!!
Ila hili swala la penalty, si la kiungwana, huwezi mpiga mtu penalty, ya kiasi kikubwa hicho ukizingatia chuo kipo chini ya dini, na ada yake kubwa, na kwa upande wa pili, asilimia kubwa ya wanafunzi hawana government sponsorship.
Acha kudanganya bwana,mtoa mada.. nani kakudanganya kama mkuu wa chuo cha SAUT amejiuzuru kwa sababu za kijinga kama hizo. Kwa akili zako zilivvyo fupi,wewe ungeweza kuwatetea watu waliokamatwa wanaibia mitihani na wamekiri au unaweza kuwatetea watu wanaopewa ada na kwenda kufanyia biashara halafu hawalipi kwa wakati huku miradi ya chuo kama ukumbi na bweni la wasichana imesimama. Think twice bwana,yule ni dokta na padri pia. Sasa nakufahamisha usioyajua. Makamu mkuu wa chuo kabla hajateuliwa alikuwa Principal wa Bukoba,na Maprincipal wote wa vyuo vya SAUT ni members waalikwa wa BOARD OF TRUSTEE na UNIVERSITY SENATE ambayo ndo hupendekeza hiyo PENALTY na BOARD OF TRUSTEE ambayo ndo chombo cha mwisho cha maamuzi ndo walioamua hao 8 wafukuzwe chuo akiwemo VC wenyewe ambaye pia ni mwenyekiti wa Discipline commette. Sasa atapingaje kitu mbacho alishiriki kukiamua. Uwe unauliza kabla ya kuleta mada, fualitia mchakato uliofanyika kumpata VC na watu walipendekezwa halafu wakakatiliwa akapita yeye,hao ndio sababu ya yeye kujiuzuru sasabu wapo nae mpaka sasa na hawampi ushirikiano wa kutosha..kama upo SAUT unaweza kuwa shuhuda wa kutosha khsu kusimama kwa mambo mengi hasa majengo na kuongezeka kwa madeni ya chuo..na alishajiuzuru toka January ila alikuwa anasubiri idhini ya tume ya maaskofu 4 iliyoundwa kufanya uchunguzi wa sbb alizotoa..
unafundisha kozi gani hapo mkuu?
Acha kudanganya wewe shigegele, hata jina la somo hujui,hakuna public relation kuna public relations, mwalimu wa PR aliyekuwepo ni SILAA na si SLAA,na hayupo SAUT tangu november 15,2013.
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe penalty,source mimi mwenyewe lecturer naitwa slaa
Hawa wakatoliki wapuuzi, mtu kashindwa kulipa ada unampiga faini atalipa toka wapi. kama angelikuwa na ada angelipa , sasa unampiga faini wakati hata ada yenyewe kashindwa kulipa. Stupid these people so called representing Jesus! They are representing Satan!