Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

Part time teachers mkataba unakuwaje?Pesa zenu kuna mtu anazizungusha kwenye mishe zake na nyie mnaendelea kupiga kazi.Shtuka.
 
Kamwambie professor ndomba acha kutuambia mkuu wa chuo Cha dit na sie tuna habari zetu nyingi zilikuwepo hata za huyo mkuu wa chuo Cha dit lakini tukaamua kuzipotezea

Na ww siuache tu mbona wanafunzi wanaacha masomo bila kupata hata ujuzi wala cheti mmekomaa na CA tu na kuretekishana. Na mnazima moto ile mbaya mnazani ada tulizo kuwa tunatoa haziwaumi ila mishahara yenu ndo inayo wauma si ndio.
 
Kama mlikua na jambo lenu mkalikalia kimya huo ni uzembe wenu. Na kama ulifikiri haya wanayofanyia waalimu hayana impact kwenu think again. Kila mtu na apambanie kinachomstahili. Siku nyingine usikae kimya bwana mdogo ili uokoe na wengine.
 
Sidhani kama wanafanya huo mchezo...itakua uzembe tu wa watu ambao wanajua hakuna wa kuwafanya lolote
Mkuu,Sielewi sana kuhusu DIT ila naelewa kwamba kuna mchezo wa watu kuprocess malipo ya watu kwa ajili ya kuwalipa CASH na kisha kuyatia mifukoni mwao.Hata hivyo naamini DIT ni chuo kikubwa watakuwa wanawawekea PESA zenu BANK so ni uzembe tu wa watu wanaojua kuwa hakuna Mkuu wa chuo anayeweza kuwafanya chochote.
 
Kama mlikua na jambo lenu mkalikalia kimya huo ni uzembe wenu. Na kama ulifikiri haya wanayofanyia waalimu hayana impact kwenu think again. Kila mtu na apambanie kinachomstahili. Siku nyingine usikae kimya bwana mdogo ili uokoe na wengine.
kwanini wewe uje upambanie huku na ukae kimya hapo chuoni mm Kama mwanafunzi nilijua mnalipwa Safi tu ila nyinyi mnajua kuwa mnachotoa kwa mwanafunzi hakistaili. Siku nyingine niongee? Nikiongea ndo tutabadilisha walimu waliokubali kupokea mfumo usio na tija kisa mkono uwende kinywani haya Sasa hichi ndio mnacho staili.

Mbona mkikagaa ubaoni na mikwara ya CA,elimu yenu ya kukaririshana na kumtishia mwanafunzi kwakua ndomba amewaambia hamvileti jamiiforum. Lakini akiwageuka ndio mnakuja huku. Sasa huku mm muhanga wa mwisho ndio nipo huku Sasa sijui nikusaidiaje Kama ungenipa elimu Bora na jamii ingeelewa kuwa dit ni kitukikubwa na ingekutetea. lakini hujafanya yaliyotakiwa kwa hiyo final solution Rudi kwa ndomba ukishindwa achana nayo mbona sie tumeachana nayo tu. Baada yakuona kinachotolewa hakiendani na kinacho lipwa. Yaani nikusonga mbele tu
 
Pole sana bwanamdogo kwa kuwa muhanga, ila nikuhakikishie kama kweli part timers wangeamua kuhujumu chuo pale wangeondoka wengi maana idadi ya part timers pale ni almost nusu ya teaching staff wote kwa department nyingi. Busara ni kutokalia kimya na kupaza sauti kwa namna yoyote ile. Ila wakiendelea hivi watakuja kutafuta mchawi soon
 
Utaratibu wao ni kulipa direct kwenye account. Ndio maana naamini hakuna michezo zaidi ya hujuma. Wanadhani waalimu hawana uwezo wa kuhujumu pia
 
Umenikumbusha miaka ya 2012's wahasibu wa DIT wanajiona miungu watu, hicho chuo miaka ya hivi karibuni kimekosa muelekeo, mazoea yamekuwa mengi sana pia walimu kutunga mitihani kukomoa wanafunzi ni kawaida yao. Siwezi kusahau mwaka 2014 tulichofanyiwa na Saa8, kwa kweli kitabaki historia maishani mwangu, kuna watu DIT wana roho mbaya sana, ukianzia library, wahasibu mpaka walimu wote lao moja ni kukomoana tu.
 
Kumbe unapajua vizuri... Nadhani kuna uzembe mkubwa kwenye uongozi wa chuo unaopelekea hiyo hali.
Malalamiko hayafanyiwi kazi sababu viburi vimejaa
Wahasibu wanaamini wao ni miungu pale..
 
Kwa hali hii usemi wako unaweza kuwa kweli kabisa sababu kama hatua zingekua zinachukuliwa hakika uzembe huu usingekua unajirudia na watu wangewajibishwa.
Heading inasema hivi

"Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?"​

Usemi wangu maana yake ni hivi,Mkuu wa chuo akiwa kama incharge hawezi kukosa kutambua kama kuna kitu kama hicho,I believe yeye ni sehemu ya tatizo,yeye ndio anayewalipa hao lecturers ingawa ni indirect sidhani kama hilo swala anaweza asiwe analijua.
 
Kwakweli inaumiza na kusikitisha hasa ukizingatia ni suala linalojirudia mara nyingi. Huenda akawa chanzo cha tatizo maana haiwezekani kwa taasisi ya elimu iwapuuze waalimu hadi miezi 6 hawalipwi na utegemee wafundishe vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…