Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Aisee, huku ni hatari zaidi kwa chuo maana sasa hata mimi sitokwenda kuomba kazi achilia mbali TAKUKURUMkuu wa Chuo cha DIT na huku kwenye Jukwa wapi na wapi! Si umeandikie yeye au uende ukamuone ofisini kwake ili mvue gloves na kuzichapa kavu kavu?