Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

Lakini tusiwaonee wao tu, kuna penye afadhali kwani? Usikute vipo vingi tu vyenye sifa hiyo, hatujapata tu taarifa ya huko kwingine.
Unamaanisha uzembe wa kiwango cha DIT? Tungeshasikia,maana DIT si mara ya kwanza na sijui hata mamlaka za juu huwa zinawaza nini kuchukua hatua
 
Unamaanisha uzembe wa kiwango cha DIT? Tungeshasikia,maana DIT si mara ya kwanza na sijui hata mamlaka za juu huwa zinawaza nini kuchukua hatua
Kwa uzoefu wangu kama raia wa Tz, nitashangaa sana iwapo ni chuo hiki tu chenye matatizo ya aina hii. Tunakosa tu taarifa ndugu.
 
Vyuo vya serikali ni mwiba sana hasa ukiamua kuliongelea face to face utakiona cha Mtema kuni!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mwacheni mwamba atolee nyongo JF tu
 
Si lazima ndugu,na huwezi kuishi kwa kudhani.
Hakuna mtu atafanya kazi miezi 6 bila kulipwa akaekimya aone kawaida,ndio maana nasema hiyo hali usiifanye ionekane ya kawaida. Vyuo vingine hakuna unyanyaji wa kijinga kama wa DIT
 
Hakuna mtu atafanya kazi miezi 6 bila kulipwa akaekimya aone kawaida,ndio maana nasema hiyo hali usiifanye ionekane ya kawaida. Vyuo vingine hakuna unyanyaji wa kijinga kama wa DIT
Siifanyi ya kawaida hat akidogo. Na kama ni hasira na kukerwa huenda ninakuzidi. Wakati wewe unaona natetea DIT, mimi ninakuona unatetea taasisi zingine kwa ujumla. Haya mambo yapo sana, hata kama si kote, taasisi nyingi zina uozo wa namna hii. Wewe kutopata taarifa hakulalalishi kutokuwepo kwa jambo. Ni kama kesi zile za ngono, mpaka sasa umesikia taasisi ngapi? Hizo ulizosikia zinahalalisha kuwa zingine zipo safi?

Uozo wa taasisi ni janga la kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…