wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hivi inakuaje Rwanda na Uganda wote waliiba maliasili za Congo lkn ni Uganda pekee yake ndiyo iliyoshitakiwa na Congo na International court kuamuru Uganda kulipa $10bil kwa kuiba natural resources za Congo.Rwanda haijashitakiwa na Congo mpk leo.Wale waasi pale msituni congo.. hii yote kupigania madini kama hutu m7 kashakuwa bilionea kwa madini anayochota hapo
Kuna kisanga kilitokea kimoja kilitokea hapo kati kuna mdau mmoja aliandika hicho kisa vizuri sanaHivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame
JK alimwambia akaelewane na waasi kwa njia ya mazungumzo. PK hakulipenda kabisa neno hilo na ndio mwanzo wa ugomvi. Lakini pia usisahau jamaa wote wawili ni wanajeshi so inawezekana JK alishtukia hila za PKNini kilikuwa kiini cha ugomvi na JK na huyu Kagame "intaharamwe"
Ktk ulimwengu huu, watu hua wanafanya mazungumzo pale ambapo mnakaribiana nguvu au kila mmoja anakitu ambacho mwenzake anahitaji lkn kama mmoja wao anaona mwenzake hana Cha kufanya hakuna namna ya kufanya mazungumzo.JK alimwambia akaelewane na waasi kwa njia ya mazungumzo. PK hakulipenda kabisa neno hilo na ndio mwanzo wa ugomvi. Lakini pia usisahau jamaa wote wawili ni wanajeshi so inawezekana JK alishtukia hila za PK
Game anapiga kiujanja sana kwa kujifanya hao sio watu wake lakini ufadhili mzima yuko na mmarekani kama utakumbuka mpaka bifu la jk ka kagame ni ile jk alipomwambia (nenda katoe watu wako pale msituni usidhani sijui)hii ngona ndio bifu ikaanzia hapo mpaka ulipoona ile oparation nchi nzima tz ikafurumushaHivi inakuaje Rwanda na Uganda wote waliiba maliasili za Congo lkn ni Uganda pekee yake ndiyo iliyoshitakiwa na Congo na International court kuamuru Uganda kulipa $10bil kwa kuiba natural resources za Congo.Rwanda haijashitakiwa na Congo mpk leo.
Ukuda ulikua Ni JK kumshauri Paka apatane na waasi wkt huo JK amesha side nao na anakutana nao behind the scene na mbaya kabisa akaenda kumpa huo ushauri mbele ya mkutano wa AU, hapo ndipo kiliwaka Moto.Kuna kisanga kilitokea kimoja kilitokea hapo kati kuna mdau mmoja aliandika hicho kisa vizuri sana
Kwani Rwanda ilishaondoa waasi Congo mpk Leo?Game anapiga kiujanja sana kwa kujifanya hao sio watu wake lakini ufadhili mzima yuko na mmarekani kama utakumbuka mpaka bifu la jk ka kagame ni ile jk alipomwambia (nenda katoe watu wako pale msituni usidhani sijui)hii ngona ndio bifu ikaanzia hapo mpaka ulipoona ile oparation nchi nzima tz ikafurumusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu alisema JK Ni handsome na Kama kuna sehemu alisema hivyo quote uiweke hapa,hayo Ni maneno ya uchochoroni.Kwenye suala la PK na JK lazima kuna kitu, JK alinusa! Ndiyo maana alianzisha operation,tokomeza na operation Kimbunga,kule kwenye mapori ya Kagera wanyarwanda walikua wamejaa tele!
Na huu ulikua mtego kwa PK ajibu kwa msela mtoto wa mjini JK,ndiyo Kagame angeona cha moto! PK hakujibu,alikaa zake kimya tu,zaidi yakusema maneno ya kike kwamba JK ni handsome,hawezi pokea ushauri toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijawahi na haitawahiKwani Rwanda ilishaondoa waasi Congo mpk Leo?
Wanagombania mali zilizoko Congo.Chanzo ni tuhuma za Kagame kuipeleleza Uganda.
Kwani Ile Operation nchi mzima ilifanya Rwanda waache kuiba madini maliasili za Congo?Game anapiga kiujanja sana kwa kujifanya hao sio watu wake lakini ufadhili mzima yuko na mmarekani kama utakumbuka mpaka bifu la jk ka kagame ni ile jk alipomwambia (nenda katoe watu wako pale msituni usidhani sijui)hii ngona ndio bifu ikaanzia hapo mpaka ulipoona ile oparation nchi nzima tz ikafurumusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanagombaniaje Congo wkt Kule Ni Shamba la Bibi kila mtu anachuma tu?M7 anamtuhumu PK Kum spy,huku PK nae akimtuhumu M7 ku support waasi wa RNC chini ya Nyamwasa na Mabaki ya FDLR.Wanagombania mali zilizoko Congo.
Likipatikana jibu LA aliyemuweka M7 madarakani ndiyo Mr Slim anakuwa na uhalali wa kuattack Marais wengine? Ama umekusudia nini kuniuliza Hivyo Chief?Kwani M7 aliwekwa na Nani kua rais?
Hapana mkuu.Kagame alishawahi kuwa mkuu wa majeshi uganda
Kwenye suala la PK na JK lazima kuna kitu, JK alinusa! Ndiyo maana alianzisha operation,tokomeza na operation Kimbunga,kule kwenye mapori ya Kagera wanyarwanda walikua wamejaa tele!
Na huu ulikua mtego kwa PK ajibu kwa msela mtoto wa mjini JK,ndiyo Kagame angeona cha moto! PK hakujibu,alikaa zake kimya tu,zaidi yakusema maneno ya kike kwamba JK ni handsome,hawezi pokea ushauri toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
M7 aliwekwa madarakani na vita alioianzisha mwenyewe. Na kati ya wapiganaji 27 alioanza nao walikuemo wanyarwanda wengi sana hadi waliposhinda vita. Wanyarwanda walikua wanaongoza kuanzia platuni hadi divijonzi, wakati mseveni akitumia muda mwingi Sweden. Ukumbuke cabinet yake ya kwanza naibu waziri wa ulinzi alikua mnyarwanda pure.Likipatikana jibu LA aliyemuweka M7 madarakani ndiyo Mr Slim anakuwa na uhalali wa kuattack Marais wengine? Ama umekusudia nini kuniuliza Hivyo Chief?
Likipatikana jibu LA aliyemuweka M7 madarakani ndiyo Mr Slim anakuwa na uhalali wa kuattack Marais wengine? Ama umekusudia nini kuniuliza Hivyo Chief?
Ninalijua ili ila nilitaka kujua motive ya alien-kot.M7 aliwekwa madarakani na vita alioianzisha mwenyewe. Na kati ya wapiganaji 27 alioanza nao walikuemo wanyarwanda wengi sana hadi waliposhinda vita. Wanyarwanda walikua wanaongoza kuanzia platuni hadi divijonzi, wakati mseveni akitumia muda mwingi Sweden. Ukumbuke cabinet yake ya kwanza naibu waziri wa ulinzi alikua mnyarwanda pure.