wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hivi inakuaje Rwanda na Uganda wote waliiba maliasili za Congo lkn ni Uganda pekee yake ndiyo iliyoshitakiwa na Congo na International court kuamuru Uganda kulipa $10bil kwa kuiba natural resources za Congo.Rwanda haijashitakiwa na Congo mpk leo.Wale waasi pale msituni congo.. hii yote kupigania madini kama hutu m7 kashakuwa bilionea kwa madini anayochota hapo