wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mkuu naomba nikuache! Kwa hiyo hata yule bakabaka aliyewauwa wenzake pale getini Upanga sio kweli ni propaganda?? Usiku mwema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaakili nyingi sanaKwanini Kagame kila kukicha?
Hatafanya ivo mpaka nord na sud kivu iwe taifa linalojitegemea lenye wanyamurenge wengi ambao ni watutsi pure wa rwanda. Hapo ndipo ataimega ardhi ya congo kama tonge la ugali.Kwani Rwanda ilishaondoa waasi Congo mpk Leo?
Hakuna cha akili wala nini ni UCHAWA wa U.S.A unambeba
Hatafanya ivo mpaka nord na sud kivu iwe taifa linalojitegemea lenye wanyamurenge wengi ambao ni watutsi pure wa rwanda. Hapo ndipo ataimega ardhi ya congo kama tonge la ugali.
duniani kutegemeanaHakuna cha akili wala nini ni UCHAWA wa U.S.A unambeba
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.
Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.
Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mmafan
Kawaida,Idara za kijasusi kupandikiziana majasusi na watoa habari,au kutumia raia kama watoa habari kwenye nchi wanazoishi ,ni kitu Cha kawaida,inatokea sana Kati ya Marekani na Urusi,na china,kwa wenzetu ukikamatwa,unafukuzwa nchini kama una kinga ya kibalozi,kama huna kinga ya kibalozi,unaishia jera,huyu lazima apelekwe jera,ila kwanza atakula mateso mpaka atapike damu,Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.
Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.
Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Mgeresi utaweza kuwaongoza wabongo walivyo na nongwa??Museveni ameishi sanaSweden kama muomba uhifadhi wa ukimbizi huku akibeba boksi kama vile levy mwanawasa kama sijakosea ama Michael satta rais wa Zambia naye kabeba boksi sana London railway Station.
Labda huenda na mimi nikawa rais Bongo Nampango wa kuanzisha Green party.
Sky Eclat
He's overrated kwa kweliKagame anaogopeka utafikiri ni Putin. Hebu tuache kumpaisha huyu mwamba.
Myebusi bana. Hakuna mtu muoga kama mbongo. Nguvu mdomoni tu.Mgeresi utaweza kuwaongoza wabongo walivyo na nongwa??
Acheni upapet malaya nyie, mnakazi ya kufanya uchunguzi wa maisha ya wengine wakati ya kwako yanakushinda.. Afrka ni moja na dunia ni moja tuipende na tupendane mwenye chuki sio mwenzetuHivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.
Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.
Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Ni kwa watuwasiojua mambo PK na Rwanda weupe tu tena weupe haswaHe's overrated kwa kweli
Hahahaha mkuu ilipigwa counterintelligence moja hapo bongo kimya kimya huyo pk hatokaa amsahau jkKama mnyarwanda tena mwenye cheo kizito alikua anahudumu kunako bakabaka na alikua kitengo cha IT hadi aliposepa na ma file na walikua hawajui,aje ashindwe kuuwawa Raia wa kawaida tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
He's overrated kwa kweliKagame anaogopeka utafikiri ni Putin. Hebu tuache kumpaisha huyu mwamba.
Na kwa kuwa wameshajua we're paranoid so na wenyewe wameamua kufanya vitu vinavyotufanya tuamini they're superNi kwa watuwasiojua mambo PK na Rwanda weupe tu tena weupe haswa
Kwa wasiojua mkuu acha wampambeHe's overrated kwa kweli
Kuna kipindi fulani mpaka wanajeshi wa nchi hizo mbili walikuwa wanapigana kule kwa kugombea maeneo yenye almasi kwenye misitu ya Congo.Wanagombaniaje Congo wkt Kule Ni Shamba la Bibi kila mtu anachuma tu?M7 anamtuhumu PK Kum spy,huku PK nae akimtuhumu M7 ku support waasi wa RNC chini ya Nyamwasa na Mabaki ya FDLR.
Kuna kipindi fulani mpaka wanajeshi wa nchi hizo mbili walikuwa wanapigana kule kwa kugombea maeneo yenye almasi kwenye misitu ya Congo.
Highly infiltrated. Ndo maana kipindi cha jk kuna jamaa alikuwa kwenye kitengo cha IT jwtz aligundulika na akakimbilia Rwanda.Kwa hio Pastor aliuliwa ndani ya ardhi ya TZ tena ktk kipindi ambacho Kikwete akiwa madarakani na akiwa hapatani na PK?Hio maana yake nini kiu usalama wa nchi?
Highly infiltrated. Ndo maana kipindi cha jk kuna jamaa alikuwa kwenye kitengo cha IT jwtz aligundulika na akakimbilia Rwanda.