Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Hatafanya ivo mpaka nord na sud kivu iwe taifa linalojitegemea lenye wanyamurenge wengi ambao ni watutsi pure wa rwanda. Hapo ndipo ataimega ardhi ya congo kama tonge la ugali.

Na hio sijui itafanikiwa lini maana mpk sasa ni next to impossible kufanya hivyo.Mbabe aliyefanya kitu kama hicho kwa miaka ya karibuni ni Putin kwa kuimega Crimea na bado anakutana vikwazo vya kiuchumi vya kufa mtu,sasa hawa maskini wenzetu wa hapo East Africa sijui watafanikishaje hilo?
 
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mmafan

Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Kawaida,Idara za kijasusi kupandikiziana majasusi na watoa habari,au kutumia raia kama watoa habari kwenye nchi wanazoishi ,ni kitu Cha kawaida,inatokea sana Kati ya Marekani na Urusi,na china,kwa wenzetu ukikamatwa,unafukuzwa nchini kama una kinga ya kibalozi,kama huna kinga ya kibalozi,unaishia jera,huyu lazima apelekwe jera,ila kwanza atakula mateso mpaka atapike damu,
Watu kama Hawa,USA au kwa Jina la kijasusi huitwa,"illegals"wanaingia nchi nyingine,wanakuwa wanaishi kama raia wa nchi hiyo,wanakuwa na dokomenti zote za uraia,wanaoa/olewa,kuwa na ajira ama sekta binafsi,au serikalini.
Tatizo wanakua hawana kinga ya kibalozi.ukikamatwa ni msoto tu,
 
Museveni ameishi sanaSweden kama muomba uhifadhi wa ukimbizi huku akibeba boksi kama vile levy mwanawasa kama sijakosea ama Michael satta rais wa Zambia naye kabeba boksi sana London railway Station.

Labda huenda na mimi nikawa rais Bongo Nampango wa kuanzisha Green party.

Sky Eclat
Mgeresi utaweza kuwaongoza wabongo walivyo na nongwa??
 
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Acheni upapet malaya nyie, mnakazi ya kufanya uchunguzi wa maisha ya wengine wakati ya kwako yanakushinda.. Afrka ni moja na dunia ni moja tuipende na tupendane mwenye chuki sio mwenzetu
 
Kama mnyarwanda tena mwenye cheo kizito alikua anahudumu kunako bakabaka na alikua kitengo cha IT hadi aliposepa na ma file na walikua hawajui,aje ashindwe kuuwawa Raia wa kawaida tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu ilipigwa counterintelligence moja hapo bongo kimya kimya huyo pk hatokaa amsahau jk
 
Wanagombaniaje Congo wkt Kule Ni Shamba la Bibi kila mtu anachuma tu?M7 anamtuhumu PK Kum spy,huku PK nae akimtuhumu M7 ku support waasi wa RNC chini ya Nyamwasa na Mabaki ya FDLR.
Kuna kipindi fulani mpaka wanajeshi wa nchi hizo mbili walikuwa wanapigana kule kwa kugombea maeneo yenye almasi kwenye misitu ya Congo.
 
Kwa hio Pastor aliuliwa ndani ya ardhi ya TZ tena ktk kipindi ambacho Kikwete akiwa madarakani na akiwa hapatani na PK?Hio maana yake nini kiu usalama wa nchi?
Highly infiltrated. Ndo maana kipindi cha jk kuna jamaa alikuwa kwenye kitengo cha IT jwtz aligundulika na akakimbilia Rwanda.
 
Highly infiltrated. Ndo maana kipindi cha jk kuna jamaa alikuwa kwenye kitengo cha IT jwtz aligundulika na akakimbilia Rwanda.

Mtikila hakuwa wa kawaida na kwa ule waraka alioutoa,na infact waraka wenyewe alipewa na Wazee wa kitengo yeye alikua muwasilishaji tu.

Wale waasi wa fdlr walikua ni wageni wa Mtikila nyumbani kwake kipindi flani hivi hapo dar,wakamalizana nae wakarudi Kupanda boti kigoma ya kwenda Congo haijuilikani kilitokea nini lkn hawakufika Congo walitekwa njiani wakapelekwa Kigali haraka tu.

So possibly Jamaa walikua na mkono wa kifo chake labda.
 
Back
Top Bottom