Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Mr slim sio mtu mzuri at all and ungrateful animal.
Uganda inamchango mkubwa kwa Mr slim hadi kuwa President ila bado anawazingua waliomsapoti.
Hapa duniani unapaswa kuwa na maadui wakati wote ili uweze kuendelea, ikiwezekana tafutia hata rafiki zako sababu wawe maadui zako.
 
Oooh. Ebu ongeza nyama kidogo katika komenti yako hii.
Na wale wanaopambana kutafuta amani na kila mtu unawaambia nini?
 
Sasa kifo za kizito kujinyonga maabusu, ndio wapigie makofi kufurahia kifo chake.
Mkuu nyamwasa Mimi naamini 💯 Hana uwezo wa kuizuri Rwanda KIVITA , huo uwezo Hana kabisa.
Hao wanawindwa kwa ajili tu ya manufaa ya PK yeye mwenyewe.
Hivi mtu Kama Noble marara na Peter mutabaruka wanna madhara gani KIVITA na Rwanda au hata David himbara na theogene rudasingwa?
Sasa mkuu kwanini wasipige makofi?Ulitaka wasikitike Nini hapo?

Unamsemea Himbara na rudasingwa waliokua wanafurahia na kusambaza uvumi wa kifo Cha Kagame kipindi Cha Corona kinaanza?Halafu unataka eti wao wasikitike akifa kizito and his associates.Hakuna kitu Kama hicho mkuu.
 
Aaaaaa duuu Sasa mkuu, kizito alifanya nn mpaka wamepiga makofi Baada ya kujinyonga maabusu kulingana na taarifa ya polisi?
 
Dogo kapewa sponsorship na Kagame ya kusoma huko nje,karudi Rwanda akawa Kama mtoto wa ndani wa hio familia.Baadae akajifanya yeye ndio genocide survivor wa pekee nchi nzima akitumiwa na wale interahamwe kuimba imba.Mnyoosho ukaanzia hapo.

Yaani msanii wa kuimba imba tu alidhani ana impact kwny nchi iliyochinjana 😄😄😄
 
-Ila mkuu ile nyimbo, mbona ni ya kweli coz hata kabla ya genocide RPA iliuwa wahutu northern rwanda zaidi ya 40,000 na hata kipindi Cha genocide na Baada ya genocide Kama kibeho , Maana hata ushaidi wa video upo, mahoko market, kanama cave na mpaka congo hasa watoto, wamama, wagonjwa na wazee.
-Kwa hiyo kuimba vile tu adhabu yake Ni kifo ??
 
Kwani aliuwawa na Nani?
 
wa kupuliza jibu swali langu Kwanza juu, nami nitakujibu. Nimekuuliza

Kwa hio kuimba vile adhabu yake Ni kifo?
Swali lipo chini Baada ya story ya kweli nilioandika. Jibu swali Kwanza
 
Daah Mwamba anakwambia we'll put you where u belong,na hao wanaopiga kelele acha tuone watafanya Nini.Na kweli hakuna kitu wamefanya zaidi ya kupiga kelele tu.

Ukipata video nyingine ya Mwamba ya dizaini hii itumie hapa tena mkuu.
 
Jibu swali!!!!
 
Nini kilikuwa kiini cha ugomvi na JK na huyu Kagame "intaharamwe"
Ugomvi ni kwasababu Kikwete alimwambia Kagame kwenye mkutano wa AU kwamba matatizo ya Congo ya M23 yanatokana na kwamba Kagame hataku wakae chini wayamalize hapo ndo mziki ukaanza
 
Back
Top Bottom