Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya Ubungo unatutesa wananchi tunaohitaji leseni za biashara, maombi ya leseni wiki nzima umekaa nayo

Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya Ubungo unatutesa wananchi tunaohitaji leseni za biashara, maombi ya leseni wiki nzima umekaa nayo

OSBON

Senior Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
148
Reaction score
276
Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya ubungo una shida gani? unakaa na maombi ya leseni wiki nzima? mbona hii hali tulishaisahau hapo manispaa ya ubungo. wananchi tunataka kuichangia serikali yetu mapato kupitia leseni za biashara na pia wenyewe tunauhitaji wa hizo leseni kwa mambo yetu ya ki-ofisi. tunomba pitisha maombi ya wateja maana maofisa wa kawaida wanapitisha, inakwama kwako tu.
 
Back
Top Bottom