Tetesi: Mkuu wa Idara ya Tehama (IT) wa TRA Makao Makuu Atoweka

Cha Msingi ni kusema mkuu wa IT,Mr XXXX,ametoweka hatujui nani au mtoa maada unogopa kuongea uzushi?
 
Kuna zaidi ya wafanyakazi 20 wa TRA wako polisi central wakihusishwa na ushiriki katika ukwepaji kodi...

Serikali ya Magufuli haitaki mchezo na wezi wa mali za umma
 
Kuna zaidi ya wafanyakazi 20 wa TRA wako polisi central wakihusishwa na ushiriki katika ukwepaji kodi...

Serikali ya Magufuli haitaki mchezo na wezi wa mali za umma
Katika woooote hao 20 umeshindwa kutupia hata jina moja!!
 
Mkuu nadhani sheria ya kuwalinda watoa taarifa inapuuzwa sana. Mara nyingi informers mahala pa kazi wamepoteza ajira zao na wale wanawatumia kuwaacha soremba hata bila kuwasaidia. Hii pia inarudisha morali wa watu kutoa taarifa kwa kuhofia usalama wa maisha yao na kazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…