Tetesi: Mkuu wa Idara ya Tehama (IT) wa TRA Makao Makuu Atoweka

Je Huyo mkuu wa tehama ame patikana sasa au Yupo kwenye mikono salama
 
Sasa Suala linakuwa , a little bit critical, hivyotuanzie central police, then. airport , au tuwasiliane na familia
 

Siyo kila kitu ni kuiga tu. Vingine havifai kuigiza. Ndiyo maana kuna kitu kujufunza kupitia kwa wengine. Unamlia timing mwenzako anapofanya jambo kuona result, akichemka na ujifunza kupitia makosa yake na wewe kufanya vuzuri zaidi.

Sasa sisi tunaingia kichwa kichwa tu.

Mfano mzuri ni issue ya VAT kwenye utalii, KENYA wamejaribu na ikawaletea negative result, mwaka huu wakaitoa sisi kichwa kichwa tukaiweka tena, wakati Kenya wakitucheka wakisubiria watakavyovuna watalii kutoka kwetu.

Sasa hv sisi kwenye hii Africa Block ndo tupo expensive kushinda nchi nyingine zote.

Tujifunzeni sana kupitia kwa wengine .
 
duh !!
ngoja nikatafute kerosine kwanza !
 
Nji hii ukifanya uzalendo sana
wanakugeuka na tena unaonekana kiherehere
si ajabu hata vyombo vya dola vinaweza kukutahiri mara ya pili ama tau au nne..iwapo utawapa taarifa za wakuu
 
Walisema watu wa JF wewe amini tu mzee. Swala libaki je kanyang'anywa silaa au vipi?
 
Hii tabia ya watu kupotea potea iangaliwe kwa makini ni hatari. Tusije kuwa kama Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…