Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

zitto junior ukitazama utendaji kazi WA makomandoo na majasusi,unagundua Kuna tatizo la tukio la October 7,nchini Israel.

Mateka pia hawajapatikana.

Nini mtazamo wako?
 
We CHAWA hiyo tafsiri kwamba "Kufeli kwenye vita inayoendekea" umeitoa kwenye kiingereza gani!!? Usituone wapuuzi kama Kobaz wenzako.

Hoja iliyomng'oa ni kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7.

Muone na mashavu yako
 
Sio kushindwa kwa vita inayoendelea.

Kasema kushindwa kuilinda Israel kutokana na shambulio la October 7.

Anakiri kutochukua hatua stahiki ingawa alipata maonyo mengi kuhusu hilo shambulio.

Sio kuhusu vita.
Myahudi wa kwa limboa
 
We CHAWA hiyo tafsiri kwamba "Kufeli kwenye vita inayoendekea" umeitoa kwenye kiingereza gani!!? Usituone wapuuzi kama Kobaz wenzako.

Hoja iliyomng'oa ni kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7.

Muone na mashavu yako
Wajukuu wa mungu aliyefia msalabani hamjitambui
 
Mpaka sasa Israel kushindwa kuwapata Mateka wake imeshindwa vita!
Ni tofauti na mwaka 1976 Israel ilipochukua siku kama 4 kuwakombia mateka waliokuwa wameshikiliwa na Idd Amin uwanja wa Entebe Uganda.
 
We CHAWA hiyo tafsiri kwamba "Kufeli kwenye vita inayoendekea" umeitoa kwenye kiingereza gani!!? Usituone wapuuzi kama Kobaz wenzako.

Hoja iliyomng'oa ni kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7.

Muone na mashavu yako
Hivi kwanini mnapenda wazungu hadi mnashindwa kutumia akili? Shambulio limetokea october saba mwaka jana 2023, leo ni april 23 ni miezi sita imepita ingekuwa chanzo ni oct 7 angejiuzulu tangu mwaka jana huko
Kujiuzulu kwake jana ni wazi vita imewaendea vibaya na mipango yao imefeli , hivi kila kitu unasubiri taarifa uambiwe na serikali hujiongezi? Kwa mfano tundu lissu alivyopigwa risasi kwa akili zako fupi ulitaka serikali itoe tamko kwamba sisi ndio tumempiga risasi? Grow up tumia hizo akili mungu amekupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…