Mkuu wa Igoma secondary anawachongea Walimu wake wakatwe Mishahara

masanzaone

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
sisi wananchi wa igoma ambapo shule hii ya igoma sekondary inapatikana tunaomba afisa elimu wa secondary ajaribu kufuatilia mambo yanayofanywa na mkuu wa shule hiyo husika. mkuu huyu haelewani na walimu wake kiasi cha kuifikia hatua ya kwenda kuwachongea kwa mwajiri ili wakatiwe mishahara. mpaka sasa mwalimu mmoja hakupata mashahara wake wa mwenzi wa tatu. tunaomba idara zinazohusika na mambo ya elimu zifuatilie suala hilo. hali hii inazolotesha elimu. huyo ndiyo mkuu wa shule ya sekondary igoma.
 
Job security ya wakuu wote ni unoko.ndo mana mi siwafagilii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…