Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Baada ya matokeo ya Islamic Knowledge kutolewa upya wala sioni tofauti manake alama F ni za kumwaga sasa cjui wamepata faida gani sasa..
kama kuna mengine huwezi kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya matokeo ya Islamic Knowledge kutolewa upya wala sioni tofauti manake alama F ni za kumwaga sasa cjui wamepata faida gani sasa..
Na sie wapagani ngoja tuanze sarakasi zetu..................!
Matokeo ya Mtihani wa Islamic Studies baada ya marekebisho yalichapishwa jana na Waziri Dr. Shukuru Kawambwa katika magazeti (mimi niliyaona katika gazeti MWANANCHI). Nimeshangaa baada ya kuona marekebisho ambayo tangazo linasema yamekwishaafikiwa na wakuu wa shule zinazofundisha somo hilo. Asilimia kama 60-70 ni F. Niliona A kama mbili hivi, B na C nazo chache mno. D ni nyingi za kutosha. Sasa najiuliza kabla ya marekebisho matokeo yalikuwaje. Nilitegemea baada ya marekebisho kuwe na msururu wa A na B. Hivi hilo somo ni gumu kiasi hicho au watahiniwa nao ni wagumu. Hata hivyo naungana na walalamikaji dhini ya NECTA. Swala la mtandao unaokokotoa mitihani haufai kuachiwa mtu mmoja peke yake. Unapaswa kukaguliwa kila msimu wa mitihani na watu wengine kuhakikisha kuwa utatoa matokeo sahihi na ya haki. Kwa hilo Dr. Ndalichako anastahili kuwajibika hata kama tatizo hakusababisha yeye binafsi. Halafu najiuliza, hivi mifumo ya komputa ya Tanzania ni tofauti na mingine? Maana hata ile ya Tume ya Uchaguzi nayo mpaka leo haijatoa matokeo sahihi ya uchaguzi wa 2010.Ni kweli na binafsi naamini kuna hujuma katika wanafunzi wa kiislamu.
nyie wazir wa mambo ya ndani kwa kuwanyima wale masalia viza !
Matokeo ya Mtihani wa Islamic Studies baada ya marekebisho yalichapishwa jana na Waziri Dr. Shukuru Kawambwa katika magazeti (mimi niliyaona katika gazeti MWANANCHI). Nimeshangaa baada ya kuona marekebisho ambayo tangazo linasema yamekwishaafikiwa na wakuu wa shule zinazofundisha somo hilo. Asilimia kama 60-70 ni F. Niliona A kama mbili hivi, B na C nazo chache mno. D ni nyingi za kutosha. Sasa najiuliza kabla ya marekebisho matokeo yalikuwaje. Nilitegemea baada ya marekebisho kuwe na msururu wa A na B. Hivi hilo somo ni gumu kiasi hicho au watahiniwa nao ni wagumu. Hata hivyo naungana na walalamikaji dhini ya NECTA. Swala la mtandao unaokokotoa mitihani haufai kuachiwa mtu mmoja peke yake. Unapaswa kukaguliwa kila msimu wa mitihani na watu wengine kuhakikisha kuwa utatoa matokeo sahihi na ya haki. Kwa hilo Dr. Ndalichako anastahili kuwajibika hata kama tatizo hakusababisha yeye binafsi. Halafu najiuliza, hivi mifumo ya komputa ya Tanzania ni tofauti na mingine? Maana hata ile ya Tume ya Uchaguzi nayo mpaka leo haijatoa matokeo sahihi ya uchaguzi wa 2010.
Mimi kichwa kinazunguka nashindwa kupata jibu na mantiki. Hivi mtihani wa Islamic Studies unasahihishwa na watu wasio na elimu/ujuzi wa somo hilo, hasa nikiwa na maana ya Wakristo? Kama ni hivyo hata mimi nitabeba bango kuipinga NECTA. Kwa nini wasimuombe Shehe Mkuu Bin Simba ateue mashehe wakasahihishe mitihani yao ili wasionewe?mlishajiuliza kwanini somo la dini a level si islamic wala divinity watu wanafeli na kitu chengine kwanni watu wengi wanafeli sana alevel tusiwe upande mmoja tu fikiri njema..
Toa hoja Mkuu. Hapa hatuko katika mhadhara wa msikitini.Kuropoka ruksa mdomo ni wako
Wewe mzee wa njaa mbona haueleweki? Uko upande gani sasa?Afukuzwe sio kusimamishwa mpumbavu mkubwa huyo.
Asilimia 90 wamepata F takataka tupu. Waislam na elimu wapi na wapi?
Zaidi Mwislamu. Neno "algebra" ni Kiarabu, wazungu waliijifunza kutoka Waislamu.Alieanzisha Algebra ni nani? katoliki au?