Mkuu wa Jeshi la Israel Luteni Jenerali Eyal Zamir, ametembelea eneo la Khiam akiwa na makamanda wakuu wa IDF, akiwemo mkuu wa Kamandi ya Kaskazini na uongozi wa kitengo.
Alifanya tathmini ya uendeshaji, akapokea taarifa za uwanjani, alizungumza na makamanda wa kikosi, na akatembelea miundombinu ya chini ya ardhi ya Hezbollah ambayo imejengwa chini ya duka la nguo za watoto.
Wanajeshi wa IDF chini ya Kamandi ya Kaskazini wanaendelea kufanya kazi ili kutekeleza dhamira ya kutetea jamii, kuondoa aina zote za vitisho, na kuimarisha zaidi kusambaratishwa kwa kundi la magaidi wa Hezbollah.
Acha ujinga wewe!!
Yeye anatangaza aliowaangamiza sasa unataka Magaidi wa Hezbollah watangaze nini?
Unapo dai kuwa yeye atangaze vifo vya upande wake ambavyo havipo huo ni ujinga.
Kumbuka Magaidi wa Hanas, Hezbollah, Houth na Bwana wa Iran pamoja na wao kuuwawa viongozi wao wote akiwemo Ayatollah Ali Khamenei hawajaweza kuua hata mjumbe wa nyumba kumi wa Israel ndipo utajua sasa waarabu pamoja na waajemi ni Mudebwedo kwa Wana wa Israel!!!