Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Oct 7, 2023 #1 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
LINGWAMBA JF-Expert Member Joined Sep 30, 2023 Posts 484 Reaction score 1,214 Oct 7, 2023 #2 Huo mtandao wa polisi wanawake kazi yake nini ?mbona mtandao wa polisi wanaume hakuna au au upo mimi sijui
Huo mtandao wa polisi wanawake kazi yake nini ?mbona mtandao wa polisi wanaume hakuna au au upo mimi sijui
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Oct 7, 2023 #3 LINGWAMBA said: Huo mtandao wa polisi wanawake kazi yake nini ?mbona mtandao wa polisi wanaume hakuna au au upo mimi sijui Click to expand... Wewe ni polisi mwanamke au mwanaume? Sent using Jamii Forums mobile app
LINGWAMBA said: Huo mtandao wa polisi wanawake kazi yake nini ?mbona mtandao wa polisi wanaume hakuna au au upo mimi sijui Click to expand... Wewe ni polisi mwanamke au mwanaume? Sent using Jamii Forums mobile app
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 7,973 Reaction score 13,647 Oct 7, 2023 #4 Ufujaji wa pesa za walipa kodi
MAKANGEMBUZI JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 2,670 Reaction score 7,655 Oct 7, 2023 #5 Tangazo la polisi kutoka makao makuu limefanana na matangazo ya waganga yanayobandikwa kwenye msitimu.
Tangazo la polisi kutoka makao makuu limefanana na matangazo ya waganga yanayobandikwa kwenye msitimu.