Mkuu wa kituo cha Himo ondoa huyu askari mwenye nyota moja na trafiki walipo barabara ya Marangu karibu na mwanzo wa katani

Takukuru nao siku hizi hawana tofauti na wale waliokuwa wakisemwa kule ZNZ na Raisi Mwinyi! nao wamekuwa sehemu ya tatizo!
Kuna kijana mmoja ni takukuru anatokea mkoa wa mbeya, yaani aamejiona amefika soon mtamsikia atakula za chembe.
 
Mtu mwwnyewe unaitWa @ sexless?mwarifu babako kaka wewe ni afande na upo himo jiandaeni ubatizo wa moto unakuja ni balaaa
Hata sijaelewa ulichoandika. Uliishia darasa la ngapi?
 

Hongera kamanda jipangeni kuwakabili majizi hawa kwa vitendo. Mtaji wa maskini ni nguvu zake Mwenyewe.
 
Mpk unakamatwa una tatizo, Rekebisha kwanzA Gari lako ili ukisimamishwa umwambie twende mahakamani mie sina kosa
 
Mpk unakamatwa una tatizo, Rekebisha kwanzA Gari lako ili ukisimamishwa umwambie twende mahakamani mie sina kosa

Kwa polisi aliowatolea uvivu kina Hawa? Labda kama wewe ni mmoja wao. Ila hawa anaosema pia Samia, dhuluma kwao ndiyo halali.
 
Hapa naona SASA mmeanza kulumbana baada ya kujenga
 
haya bwashe ushauri wako tutaufanyia kazi pindi nitakapokaa na kamati yangu
 
Hili swala ungeweka ushahidi ingekua ni vzr sasa bila ushahidi wataanzia wapi wahusika kufatilia?
 
Kabla Kinana hajatusehea nlikwiishasimamisha kutumia gari binafsi barabara kuu. Wana njaa sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…