Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob, John Mkunda amewataka Askari waliokula kiapo katika sherehe hizo kukiishi kiapo chao kwani Mwanajeshi asiyeishi kwenye kiapo sio mzalendo, amewataka kuwa watii, wanyenyekevu na uhodari katika utumishi wao waliouanza rasmi. Kwani kiapo hiki leo ndio mwanzo wa Maisha yenu Jeshini.
Aidha, Mkuu wa Majeshi amewasihi askari wapya kutunza afya zao kwani Jeshi ni afya bila ya afya kazi yetu ni ngumu inahitaji kujitoa kiakili na mwili kutekeleza majukumu yetu, hivyo basi afya ndio mtaji wa kazi yetu.