Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo atimba Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa bajeti yaWizara ya Ulinzi

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo atimba Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa bajeti yaWizara ya Ulinzi

Wewe ni mukya?
Hata huyo uliyemtaja simjui!Ila ninachosema,unaonekana una mahaba sana na Mbowe!Kama vipi mtafute umueleze ya moyoni,huenda akakuelewa na kukufanya nyumba ndogo!
 
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeyo.

Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT

Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!

Hivi katika Habari ambayo unadhani Watanzania kweli kabisa kwa wakati huu wanataka Kuijua au Muhimu Kwao ni hii Ndugu?
 
Back
Top Bottom