Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hii ni kweli,makebo ni panya wa CCMNyinyi wote wawili hamna tofauti. Mwenzako ametumika kunyanyasa weusi wenzake kulinda maslahi ya utawala wa ukoloni. Na wewe hapo ulipo unatumika kunyanyasa Watanzania wenzako kulinda maslahi ya utawala wa mkoloni mweusi (ccm).