TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

Ukiona wanaisha ujue wewe ndio unaenda kywa mkongwe. Baada ya miaka 100 ijayo aid nyingi humu zitakuwa dormant including id ya founder wa JammiForums
Mkuu, neno nyingi liwe zote, ukizingatia kuwa mtu anayeingia JF ana umri wa angalau miaka 15 - hivyo yamkini ya kuwepo miaka 100 ijayo ni karibia 0.
 

Mkuu wa Majeshi Mstaafu ni Generali mwandamizi kuliko wote aliyekuwa hai ; INASIKITISHA SANA AMIRI JESHI MKUU ambaye ameondoka kwenda marekani analeta dharau kwa kumtuma Naibu Waziri Mkuu ( cheo Bandia) kumuwakilisha kwenye tukio zito kama hilo ….. angalau kama kashindwa angemtuma MAKAMU WA RAIS

HII inaonyesha ni Aidha Rais mwenyewe hajui uzito wa Generali Musuguri au tu wasaidizi wake wameamua kufharau au hawajaiva kimfumo

Mara zote misiba ya afisa na kamanda mpiganaji wa level ya CDF kama Rais yupo nchini wanatakiwa kufika yeye mwenyewe au msaidizi wake mkuuu.

Hizi ni dharau !!!!
 
Bado facts zako haziko sahihi. Idd Amin alivamia Tanzania 1978. Vita vya kumpiga Idd Amin ndani ya mipaka yake vimeisha June 1979. Baada ya hapo hakukuwa na vita Uganda, bali baadhi ya askari wa JWTZ walibaki Uganda kufundisha jeshi jipya la Uganda.

Musuguri hakuwa Mkuu wa Jeshi wakati wa vita, alikuwa kamanda tu wa kawaida kama kina Mayunga, Kiwelu nk. Kwanza kubali hilo ili usiendelee kutetea facts ambazo ziko wrong
 


Labda Musuguri alikataa kupokea zile Land Cruiser mpya walizozawadiwa wakuu wa majeshi wakati wa kimbembe cha kuuzwa bandari!

Msukuma nae wakati huo huo tulimwona akipewa funguo za Landcruiser kama hiyo, baada ya kuutetea sana mkataba wa bandari, akajitetea kwa nguvu sana kuwa yeye alinunua kwa hela yake 😀
 

..Asante.

..Musuguri na Kiwelu hawakuwa makamanda wa ngazi moja na Silas Mayunga, John Walden, Mwita Marwa, Imran Kombe, Ahmed Kitete, Ramadhani Faki,Herman Lupogo, na wengine.

..Musuguri na Kiwelu walikuwa makamanda wakuu wa vita. Chini yao ndio kulikuwa na hao Ma-brigedi kamanda ambao umewataja hapo juu.

..Na wakati wa vita Mkuu wa Majeshi alikuwa Meja Jenerali Abdalah Twalipo, na Mnadhimu Mkuu alikuwa Tumainieli Kiwelu.

..Kilichotokea ni kwamba baada ya nchi kuvamiwa Kiwelu akiwa Mnadhimu wa Jeshi ndiye aliyepewa jukumu kwenda kupiganisha vita ya kuyaondoa majeshi ya Uganda ktk ardhi ya Tanzania.

..Baada ya ardhi yetu kukombolewa ikaamuliwa majeshi yetu yaingie Uganda kusafisha.

..Sasa kuanzia hapo Kiwelu alirejea makao makuu ya jeshi kuendelea na nafasi ya Mnadhimu wa Jeshi, na jukumu la kuongoza askari vitani akapewa David Musuguri. Na chini yake kulikuwa na ma-brigedi kamanda, wakuu wa vikosi,...

..Na kuisoma taarifa vizuri utaona kwamba Musuguri aliteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi akitokea Uganda. Baada ya Amini kupinduliwa askari wa Tanzania walibakia Uganda kusaidiana na jeshi jipya la nchi hiyo. Kwa hiyo Musuguri aliendelea kuwepo Uganda baada ya vita kuisha, mpaka alipoteuliwa kuwa Mkuu wa majeshi.
 
Ndipo alipokua akiishi miaka yake mingi iliyopita na hata msiba pale nyumbn kwake mbezi kwa msugur wamewek maturubai na maombolezo yanaendelea
 
moja ya simulizi za General alisema anamiliki iliyokuwa gari ya rais wa uganda General amini baada ya kumkimbiza na kuliacha gari na kutimkia machakani, alilibeba kama ishara ya kumshinda adui wa taifa letu. Sasa niwakati wa familia kulikabidhi hili gari kwa yoweri mseven nae alikabidhi kwa familia ya idd amin hasa mwanae lumumba amin anaishi uganda kama raia wa kawaida
 
sijakuelewa,
 
Hapo tumemaliza discussion! Sasa hiyo ndio fact na ndivyo ilipaswa kuwa reflected. Unaweza Mkuu wa vita lakini haikufanyi kuwa Mkuu wa Jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…