Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Pumzika kwa amani Hayati General David Musuguri. Niliandaa risala ya kumuaga kamanda huyu wakati anastaafu.
Nakumbuka aliwashangaza wengi, pale alipostaafu na kuamua kuoa binti mhitimuwadarasa la 7. Lakini haikuleta shida kule Butiama, kwa asili yao, waliona ni sawa tu. Kwa sasa, bila shaka binti yule atakuwa tayari ni mtu mzima.
Musuguri amemaliza safari yake Duniani kwa umri usio hapa, wa miaka 104. Tumwombe Mungu, nasi atujalie maisha marefu yenye heri.
Poleni sana wafiwa.
Anazikwa tarehe ngapi? Atazikwa Butiama au Nyasirori.