Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tuliishi maisha duni enzi zetu za uaskari kwa ajili ya huyu mzee.
Alikuwa ana huruma, lakini mambo ya maslahi siyo.
Tukilalamika tuongezewe mishahara,
Anamwambia Nyerere... 'Ukiziongezea mshahara zitarewa'...
Lakini yeye hadi kifo kalindwa na kanuni ya marupurupu ya viongozi wastaafu
Mshahara 80% ya Cdf aliyepo ofisini, hela ya mafuta, gari la kumhudumia na kila baada ya miaka mitano, linabadilishwa na kupelekwa jipya, matibabu yake na ya familia, ulinzi na dereva wanajeshi nk.
Apumzike kwa amani.