TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

Acha uongo umasikini wa Tanzania ni tatizo linalotokana na mabadiliko ya mfumo kutoka Ujamaa kwenda ubepari,na ulifanyika makusudi na USA ili kuzididimiza nchi zilizokuwa zinafuta Sera za ujamaa.
Haya nijibu swali langu.
Je, tulishikiwa bunduki kutoka kwenye ujamaa kuingia kwenye ubepari?
Athari za vita ya Kagera ndio sababu kubwa ya watanganyika kuingia kwenye ubepari.
Unakataa halafu unakubali indirect.
Nyerere na wenzake wameharibu nchi
 
MEJA GEN SAYORE acha kabisa

Nakumbuka kipindi nasoma jitegemee mjukuu wake alichapwa fimbo bahati mbaya alivimba sana kwenye matrako
Dogo ikabidi arudi home kifuatacho dogo akarudi na mzee ilikuwa kizaazaa enzi hizo Headmaster alikuwa Fabian Massawe aisee Massawe alikuwa mpole sana hadi huruma order ikatoka dogo asichapwe fimbo wala nini alafu toto lenyewe lilikuwa jeuri kinoma

Sema ndio hvyo mtoto wa mkuu wajeda wote wakawa wanahanya kwa dogo 😁
Alimpeleka Mwanae kucheza karate China, amekomaa huyo mpaka macho

Anasema hataki Mwanaume mlaini kwake
 
Alikuwa Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1988, Jenerali David Bugozi Msuguri.

Musuguri ambaye asili yake ni Musoma mkoani Mara, ndiye aliyeongoza majeshi ya Tanzania kumfurusha Nduli Iddi Amin Dada wa Uganda mwaka 1978 baada ya kuvamia eneo la Kyaka mkoani Kagera na kulitangaza kuwa ni miliki ya Uganda.
Kama alikuwa Mkuu wa Majeshi 1980 had 1988, inakuwaje yeye aliongoza vita vya Kagera vya 1979?

Anyway, jamaa ameondoka kaacha Landcruiser mpya walizopewa kuwapooza wakuu wa mejeshi wastaafu wakati wa kimbembe cha kuuzwa kwa bandari!😀
 
1730204702029.png
 
Back
Top Bottom