Sure mkuu n that is why the Sense of common is not measurable
Usalama wa taifa hawapo chini ya CDF bana, tusidanganyane.Mkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhh....watu mnaweka hadi chumvi sasaMkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unalalamika server kujaa wewe kama nani..maxmelo ndo aje alalamike sio wewe mtfmnazijaza JF servers kwa threads za kitoto kitoto…...
vi ushuzi vyenu tena vya kitoto muwe mnavimalizia huko huko facebook!Unalalamika server kujaa wewe kama nani..maxmelo ndo aje alalamike sio wewe mtf
Sent from my SM-A105G using Tapatalk