Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi katika nchi yoyote Nani anamzudi mwenzake kwa kila kitu kulingana na nafasi zao Mkuu wa Majeshi na Gavana wa bank kuu.

Vipi kuhusu maslahi unyeti na ulinzi wa hawa watu?

Au la ukiambiwa uchague kimoja wapo utachagua kipi?

Binafsi naona gavana ndio kila kitu.
 
Mkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usalama wa taifa hawapo chini ya CDF bana, tusidanganyane.

Sent using COVID-19
 
Mkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhh....watu mnaweka hadi chumvi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Majeshi ana ulinzi mkubwa na escort ambayo Gavana hana kuhusu mkwanja sijui
 
Unalalamika server kujaa wewe kama nani..maxmelo ndo aje alalamike sio wewe mtf

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
vi ushuzi vyenu tena vya kitoto muwe mnavimalizia huko huko facebook!
 
Back
Top Bottom