sasa si uache wanachuo wenzake wamjibu,wewe inakuuma niniVyuo vifunguliwe maswali kama haya yaishie hukohuko kwenye vicorridor vya hostel.
Wanapokutana vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF ndio mkuu wao.Hilo ndio ilivyo.
Hakuna jeshi linaloitwa usalama wa taifa,Wala hakuna cheo kinachoitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama .Bali Kuna mkuu wa majeshi ambaye ni kiongozi wa majeshi ya ulinzi ,Wala hausiki na askari polisiMkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio kweli ,Kuna mkuu wa usalama wa taifaWanapokutana vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF ndio mkuu wao.Hilo ndio ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijajua nini maana ya kuwa na mkwanja lakini kisheria msahahara na marupurupu ya Gavana yanapangwa na Rais. Hii naona haijatajwa na Sheria kwa CDF ikimaanisha Utumishi ndio hupanga mshahara wake.
Kuhusu kulindwa zaidi sijajua unamaanisha nini maana hata kama unawaongoza mgambo hakuna mtu atakuuliza ukiwafanya wote wawe walinzi wako.. maana yake CDF atatumia wapiganaji haohao kuwa walinzi wake.
Gavana kulindwa itategemea utashi wake tu lakini atalindwa kama maafisa wengine Waandamizi wa Serikali km. kuwa na mlinzi, dereva ambaye anaweza kuwa mlinzi pia.n.k.
Kuhusu unyeti kufuatana na sheria zenyewe Rais lazima ateuwe Gavana wa Benki Kuu lakini siyo lazima ateuwe Mkuu wa Majeshi.. anaweza kuongoza Majeshi yeye kama Amiri Jeshi Mkuu (C-In-C) au akakasimu kwa Kamati ya Jeshi la Ulinzi ( DFC).. Niko tayari kwa ukosoaji wa kujenga..🙂
nimependa hili jibu
Usidanganye wasiojua mkuu.Wanapokutana vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF ndio mkuu wao.Hilo ndio ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hayo majeshi mengine pia. Chief of Defense na siyo defence and security forces
Umeongeza chumvi, CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi tu. Ukitaja usalama inamaanisha ni hadi jeshi la polisi na magereza, huko hahusiki. Na TISS haipo chini ya CDF, ipo chini ya DG wao. Rais pekee ndiyo hivyo vitu vyote vipo chini yake, ila si CDFMkuu wa Majeshi ni mtu muhimu zaidi na analindwa kuliko Gavana. CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, yani majeshi yote hadi usalama wa taifa yapo chini yake. Gavana hamzidi chochote CDF
Sent from my iPhone using JamiiForums