Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ee bwana we ! hayo mawazo yako ni ya kuzuga zuga tu.Hizo pesa wacha ziliwe kwa sababu haingii akilini kwamba kuna fungu la kununua mabomu na helicopter kwa ajili ya kupambana na mwehu na kizuu kama Abubakari Shekau.Mtu asiyefahamika vyema.
Hawa mabeberu wanaoshikilia propaganda za ugaidi sasa wameishika vibaya kusini mwa Afrika na wana hamu ya kufungua tawi la ugaidi na kulipa jina lao na waseme limekula kiapo kwa ISIS au Alqaeda.Ukiondoa Tanzania nchi za kusini mwa Afrika zina idadi ndogo ya waislamu lakini bado inaelezwa magaidi wana nguvu sana hata kushinda majeshi ya nchi hizo na sasa ziko kwenye mjadala ya kutafuta misaada .
Sio mawazo ya kuzuga zuga kwani sio mawazo yangu bali ilikuwa ni bajeti ya kununua silaha kupambana na Boko
Sikuyatoa kichwani bali ilikuwa habari kubwa huko
Kupambana nao ni vigumu sana kwani nakumbuka wanajeshi walikimbia na wengine kugoma kupigana kwa kukosa silaha wakati hela za kununulia silaha zimeliwa