CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu naye anajiona bingwa wa kutatua migogoro. Ajue hii ni Dar siyo Bukoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni huyo pimbi, Ukuu wa Mkoa wa DSM unakuwa kama taarishi wa serikali kuu.Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo.
Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena
=====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu kuja kusikiliza kero za wafanyabiashara wakati yeye Mkuu wa mkoa yupo huku akiahidi sasa itakuwa ni mwisho kutokea jambo hilo
Akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo wakati akimkaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, RC Chalamila amesema ofisi yake itakuwa wazi muda wote huku akisema anafahamu wazi kuwa kuna mahalui wafanyabiashara wanakanyagwa kiatu na atafanyia kazi suala hilo
“Nawathibitishia Ofisi ya RC itakuwa wazi, nafahamu Wafanyabiashara kuna mahali mnakanyagwa kiatu na Mimi kama RC itakuwa mara ya mwisho kuja kikao ambacho kina Waziri Mkuu wangu maana itakuwa aibu RC kumsumbua Waziri Mkuu afike na Mimi nipo maana yake nitakuwa sitaki kazi ya Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam” amesema RC Chalamila
Mkuu wa mkoa ni mtu mdogo sanaMkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo.
Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena
=====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu kuja kusikiliza kero za wafanyabiashara wakati yeye Mkuu wa mkoa yupo huku akiahidi sasa itakuwa ni mwisho kutokea jambo hilo
Akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo wakati akimkaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, RC Chalamila amesema ofisi yake itakuwa wazi muda wote huku akisema anafahamu wazi kuwa kuna mahalui wafanyabiashara wanakanyagwa kiatu na atafanyia kazi suala hilo
“Nawathibitishia Ofisi ya RC itakuwa wazi, nafahamu Wafanyabiashara kuna mahali mnakanyagwa kiatu na Mimi kama RC itakuwa mara ya mwisho kuja kikao ambacho kina Waziri Mkuu wangu maana itakuwa aibu RC kumsumbua Waziri Mkuu afike na Mimi nipo maana yake nitakuwa sitaki kazi ya Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam” amesema RC Chalamila
Ameshaongoza Majiji kabla ya hapa Dar,hakuna jipya hapo
Atapambana na wale wa Rushwa liko ndani ya uwezo wake
- Mambo ya Kodi ni ishu za kisheria, kitu ambacho hana ushawishi nacho.
- Hiyo ni sawa na kujimilikisha Dar, atambue ya kuwa matatizo hayana mwenyewe ila yana mkubwa wake
Anaweza kuwaagiza viongozi waandamizi mfano Makatibu wakuu? Mama Waziri mkuu asingefika jana ngoma ingekuwa mbichi bado.Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo.
Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena
=====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu kuja kusikiliza kero za wafanyabiashara wakati yeye Mkuu wa mkoa yupo huku akiahidi sasa itakuwa ni mwisho kutokea jambo hilo
Akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo wakati akimkaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, RC Chalamila amesema ofisi yake itakuwa wazi muda wote huku akisema anafahamu wazi kuwa kuna mahalui wafanyabiashara wanakanyagwa kiatu na atafanyia kazi suala hilo
“Nawathibitishia Ofisi ya RC itakuwa wazi, nafahamu Wafanyabiashara kuna mahali mnakanyagwa kiatu na Mimi kama RC itakuwa mara ya mwisho kuja kikao ambacho kina Waziri Mkuu wangu maana itakuwa aibu RC kumsumbua Waziri Mkuu afike na Mimi nipo maana yake nitakuwa sitaki kazi ya Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam” amesema RC Chalamila
Atapambana na wale wa Rushwa liko ndani ya uwezo wake
Awe makini maana hili ni Jiji sio kama alikotoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafanyabiashara wasumbufu, walimtingisha Makalla nae akatingishika akajikuta ametua Mwanza wala asijue amefikaje.
Mitungi kwake ni maji tu hakuna haja ya kuuliza kaa kwenye point
Mbeya kuna wasumbufu kuliko hata Dar, Dar watu ni waoga kuliko unavofikiri
Na ungoWafanyabiashara wasumbufu, walimtingisha Makalla nae akatingishika akajikuta ametua Mwanza wala asijue amefikaje.