Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe
Ni lazima kila kiongozi atekeleze majukumu kwa kuzingatia kanuni ,sheria , miongozo na katiba yetu .na siyo kujichukulia na kujifungia sheria zako mkononi na kwenda kuanza kuzitekeleza kwa kuwadhalilisha na kuvunja haki za watu wengine.
Sawa kijana wa mama samia ,nasikia mkuu Kuna Hela za mama na pikipiki raia wanapewa ,naomba unipe muongozo naweza kupataje NAMI niwe mnufaika wa Moja Kwa Moja kupitia ufadhili huo wa mama niwe napita na boda yenye picha yake mtaan ...asante
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.

Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari wa serikali na wanahabari.

Amesema yeye na wakuu wake wa wilaya wameyapokea vyema maelekezo ya Mheshimiwa Rais ya kuacha ubabe na hata hivyo yeye Mheshimiwa Chalamila alishaacha ubabe.akachukua nafasi hiyo kuwa simamisha wakuu wa wilaya wawili ambao ni wa ubungo na kinondoni.

Kauli hiyo ya Mheshimiwa Chalamila inakuja baada ya kupita siku chache Mheshimiwa Rais kusema kuwa kuna baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wanaendelea na matumizi ya mabavu na ubabe.na akawataka kuacha mara moja tabia hiyo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019913
Ubabe ameacha Ila ukichaa ndio bado hajaacha.?
 
Sawa kijana wa mama samia ,nasikia mkuu Kuna Hela za mama na pikipiki raia wanapewa ,naomba unipe muongozo naweza kupataje NAMI niwe mnufaika wa Moja Kwa Moja kupitia ufadhili huo wa mama niwe napita na boda yenye picha yake mtaan ...asante
Kazi ni kipimo cha utu. Fanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa utapata kununua na kumiliki chochote kile unachotaka .
 
Back
Top Bottom