Ni lazima kila kiongozi atekeleze majukumu kwa kuzingatia kanuni ,sheria , miongozo na katiba yetu .na siyo kujichukulia na kujifungia sheria zako mkononi na kwenda kuanza kuzitekeleza kwa kuwadhalilisha na kuvunja haki za watu wengine.
Sawa kijana wa mama samia ,nasikia mkuu Kuna Hela za mama na pikipiki raia wanapewa ,naomba unipe muongozo naweza kupataje NAMI niwe mnufaika wa Moja Kwa Moja kupitia ufadhili huo wa mama niwe napita na boda yenye picha yake mtaan ...asante
 
Ubabe ameacha Ila ukichaa ndio bado hajaacha.?
 
Sawa kijana wa mama samia ,nasikia mkuu Kuna Hela za mama na pikipiki raia wanapewa ,naomba unipe muongozo naweza kupataje NAMI niwe mnufaika wa Moja Kwa Moja kupitia ufadhili huo wa mama niwe napita na boda yenye picha yake mtaan ...asante
Kazi ni kipimo cha utu. Fanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa utapata kununua na kumiliki chochote kile unachotaka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…