mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu.
Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na voice tag ya tuhuma kwenda kwa Mh. Byabato kwa kufungua ujenzi wa stand kuu kwa mgoma na nderemo huku akijua yeye kama mwanasheria kuwa hakuna ujenzi bila ramani. Rushwa ya Mil. 50 aliitoa mkandalazi ili wapewe milion 900 aanze ujenzi wa magumashi huku akijua 2024/5 hilo eneo kapewa World Bank kutafuta mkandaras wa kujenga stand mpya ya viwango.
Video ni kubwa mno nitaweka link ya miladiayo mpate wote
View: https://youtu.be/3Vd7WYBjgoc?si=uchTbSqf3FLtFWJB