Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilya na Mbunge nani ni nani katii yao?

Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilya na Mbunge nani ni nani katii yao?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa?

Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini.

Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma Elimu ya Tanzania kwa levels kadhaa. Kuna mambo huwa yananipita kushoto. Naombeni tusaidiane kuelimishana.
 
ni muhimu sana kuelewa kazi, majukumu na mipaka ya kazi yako kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

ni rahisi mno kutambua nani ni kiongozi wa kisiasa anae wawakilisha wananchi serikalini, na nani ni kiongozi muwakilishi au mtendaji anae iwakilisha serikali kwa wananchi na mipaka yao 🐒
 
Mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ni sauti ya mkuu wa nchi!, kwa maana ni wawakilishi wa rais hivyo maagizo ya rais yanaweza kupita kwao na yeye akayasimamia na kitekelezwa hivyo ki serikali hawa wapo juu dhidi ya mbuge!.
mbuge ni muwakilishi wa raia tu!, ndio raia ni watu muhimu maana wao ndio serikali lakini mh!.
ukitaka kujua tofauti yako wewe mwananchi na wenye nchi vunja sheria utaona sheria inavyokufanya wewe na yeye ndo utajua kwanini kuna methali isemayo "pita huku nami nipite kule tumfinye mshenzi!"
 
Kiitifaki, Mkuu wa mkoa kama mteule na mwakilishi wa Raisi ngazi ya mkoa....Ni Mkubwa kwa hao wote!

That's why ukaona Makonda anampasua Mrisho Gambo (mbunge)hadharani.
 
Back
Top Bottom