Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
ni muhimu sana kuelewa kazi, majukumu na mipaka ya kazi yako kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa?
Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini.
Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma Elimu ya Tanzania kwa levels kadhaa. Kuna mambo huwa yananipita kushoto. Naombeni tusaidiane kuelimishana.