Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
MKUU WA MKOA SIMIYU ATOA TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI HUMO
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Said M. Mtanda, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, inayotarajiwa kufanyika mkoani Simiyu kuanzia tarehe 13 hadi 16 Septemba, 2026.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea maeneo mbalimbali mkoani Simiyu kwa ajili ya kuendelea kusimamia utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kusikiliza masuala mbalimbali yanayowahusu wananchi.