Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda akwaruzana na Fatuma Karume

Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda akwaruzana na Fatuma Karume

Nasikitika kwa jinsi taifa linavyogawanyika kwa kasi ya mwendokasi,tukiendelea hivi nadhani kufikia 2025 tutakuwa na magari ya abiria ya kikanda,kichama,kikabila nknk
 
Shangaz nae Ana vidonge vizitooo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].
Taifa staz ni Mali ya serikali inayotimiza ilani ya CCM.
 
Kauli ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kabla ya mchezo kati ya Taifa stars na Kenya:
"Taifa Stars ni Mali ya Serikali, inatekeleza ilani ya CCM" huenda ndio inasababisha baadhi ya watu kufurahia Kipigo cha Taifa Stars (3-2) dhidi ya Timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ huku wengine wakihuzunika.

Kumeibuka vita mpya ya maneno kati ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Hamasa wa Taifa Stars na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) Fatma Karume.

Fatma Karume alianza kuandika kwenye Twitter:
“Paul Makonda arudi tu. Maana yeye kukaa Misri haisaidii kitu,”

Makonda amejibu: “Tulia wewe, hujanilipia nauli.”

Fatma Karume akaongeza tena: “Tulia jina la Naibu Spika sio langu. Ninaitwa Fatma Amani Karume. Jina langu lakuzaliwa nililopewa kwenya Birth Certificate, sina jengine. Wewe una majina mangapi? Acha kuomba omba nauli kwa kiherehere. This city does not belong to you. Umelikuta na utaliacha. Take a chill pill!”

View attachment 1141813
View attachment 1141814
View attachment 1141816
Iga ufe
 
Back
Top Bottom