Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo?
Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo poromoka.
Hujui kuwa wengi wa wakazi wa Dar wanaishi nyumba moja familia zaidi ya mbili? Huku wengi wakikaa na extended families?
Wengi wamepanga na hujikuta wakiishi kwa muingiliano mkubwa. Dada wa kazi, watoto, wageni na ndugu kuchangia chumba kimoja.
Sasa unapotoa ushauri kuwa wakazi wa Dar wasiruhusu wageni kulala na watoto hiii inakaa akilini?
Kwamba familia ya watu wengi waenye vyumba viwili wakipata mgeni alale wapi?
Wakazi wa Dar wasipokee wageni?
Ni kweli mkoa wa Dar unaongoza kwa ukatili dhidi ya watoto. Lakini unadhania kukataa wageni ndio suluhu?
Au unataka wageni wanaokuja Dar walale vibarazani ili ukatiri dhidi ya watoto uishe?