Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametangaza kufutwa kwa zoezi la usafi lililokuwa likifanyika kila Jumamosi katika Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na sababu mbalimbali, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kutunza mazingira na kuhakikisha usafi unafanyika kwa hiari na kwa uwajibikaji.
Amesema pamoja na kufutwa kwa utaratibu huo wa usafi wa Jumamosi, wananchi wanapaswa kuendelea kuwa na utamaduni wa usafi katika maeneo yao ya makazi, biashara na maeneo ya umma.