Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma: Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCM 05 Februari, 2025 kutakuwa na uji bure kwa wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sura zao zinaonesha tu kwamba wameshiba uji hao, creativity iko low sana yaani. Wanajua maisha ni magumu alafu wanawaahidi wananchi kunywa uji.....mkutano uliopita waliwapa kila mjumbe milioni 2 malazi na chakula bure. Leo wananchi uji tu 😕
 
BOra rungwe aliahidi pilau.

Nchi hii ina ujinga na ushamba mwingi sana, hawa viongozi wanatuchukulia mazezeta sasa.
 
ni muhimu sana wana CCM kupata kifungua kinywa kwa pamoja🐒

Well done RC
 
Dah! Hii nchi ni kituko
 
Ccm inashindwa hata na yanga wanatoa supu kwa chapati!
 
Y
Yaan CCM kufikisha miaka 60 + ,wameonaa Bado watanzania wanauhitajii wa ujui kweliii 🤔🤔🤔

Ila akili za wagogo walivyo watagombaniaa huo uji mpk uwachomeee😅😅
Hata mie nashangaa. Enzi zile sikukuu za Uhuru tukipewa sahani za wali na nyamapori kwa raha zetu. Hili la " Nyuka maber" limeniacha hoi bin tabaan.
 
Hii Nchi ina laana
 
RC badili kauli angani chap!

Agiza nyamapori chap chap
Chukuwa majiko na wachoma nyama mnadani Msalato!!

Nyati dazen Moja tosha kabisa pale Jamuhuri stadium

Utanikumbuka!!
 
vya bure utopwinyo nyuma mwiko ndo zao wanapendaga hizo wakajazane huko sasa wasivyo na aibu wataulizia mpaka na supu,ila ccm inakuwa na watu wajinga wajinga cjui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…