peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
🤝🤝🤝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yuko smart sana,sema kuongoza local government unatakiwa uwe local sana,ukiwa brave utaishia kupata presha na kisukari.
Unaweza kutoa mifano ya hizo siasa chafuLakini huyu ni miongoni mwa walioendesha siasa chafu enzi za mwendazake.
Sidhani.........kweli? Mbona hajawahi kuwa headlines kama akina Bashite, Sabaya, Mnyeti wala ByakanwaLakini huyu ni miongoni mwa walioendesha siasa chafu enzi za mwendazake.
Mwendazake hakua kilaza!?..Kanda ya ziwa haijawah toa vilaza
Unaweza kutoa mifano ya hizo siasa chafu
Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuu
Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuu
Jamaa anaweza sana. Kuna shule mkoani Simiyu kama sikosei inaitwa kwa jina lake. Aliacha legacy kwenye elimu.Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuu