peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Jamaa yuko smart sana,sema kuongoza local government unatakiwa uwe local sana,ukiwa brave utaishia kupata presha na kisukari.π€π€π€View attachment 2209463
Unaweza kutoa mifano ya hizo siasa chafuLakini huyu ni miongoni mwa walioendesha siasa chafu enzi za mwendazake.
π€π€π€View attachment 2209463
Sidhani.........kweli? Mbona hajawahi kuwa headlines kama akina Bashite, Sabaya, Mnyeti wala ByakanwaLakini huyu ni miongoni mwa walioendesha siasa chafu enzi za mwendazake.
Mwendazake hakua kilaza!?..Kanda ya ziwa haijawah toa vilaza
Unaweza kutoa mifano ya hizo siasa chafu
Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuuπ€π€π€View attachment 2209463
Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuu
Jamaa anaweza sana. Kuna shule mkoani Simiyu kama sikosei inaitwa kwa jina lake. Aliacha legacy kwenye elimu.Huyu mwamba sio mchezo,kama huyu jamaa ilibidi awe waziri mkuu