Mkuu wa mkoa wa Geita , hii inakuhusu

Mkuu wa mkoa wa Geita , hii inakuhusu

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Mh. Mkuu wa mkoa wa Geita, nikuombe ufatilie utendaji kazi wa mkuu wa wilaya na mkurugenzi katika wilaya ya nyang'wale. Mkoa wako wa Geita.

Mh. Mkuu wa mkoa, lakini pia jaribu kukagua riport za miradi ya barabara ktk wilaya hiyo ya nyang'wale inayotekelezwa na wakara wa barabara vijijini TARURA kuna ubabaishaji kama siyo harufu ya ufisadi ktk miradi ya ujenzi wa barabara ktk wilaya hiyo.

Moja ya barabara ambayo nakuomba uanze nayo, ni barabara ya kibaoni - ifugandi.
Barabara hii pamoja nakuwa ndiyo barabara pekee ya kuingia na kutoka ktk kijiji hiki, na ndiyo barabara pekee yakufika kata ya busolwa na wilayani ambapo ndipo kuna huduma muhim za hospitali , police, nahuduma zingine muhim , lakini barabara hii imekuwa ni madimbwi na visima bila hata kukwanguliwa tu.

Mkuu wawilaya anasema kunamkandarasi alishapewa hii kazi tangia mwaka jana lakini hatujaona mkandarasi wa kifaa chochote angarau hata cha kukwangua hii barabara.
Mama zetu wanateseka kupata huduma za afya ikiwemo kujifungua au kuwahi hospital .

Nakuomba mh. Mkuu wa mkoa pitia maeneo hayo ujionee na uweze kusaidia ndg na dada , mama na watoto, baba na kaka wanaoteseka ktk eneo hilo.

Pitia ujiridhishe km kweli hiyo barabara ya ifugandi to kibaoni inamkandarasi, na huyo mkandarasi ni kampuni gani, naungalie kilichofanyika.
Hii utamsaidia mh Rais alivyotoa maagizo ya wakuu wa mikoa kutoka maofsini nakwenda kusikilisa kero za wananchi, yawezekana ma DC wenu wanawadanganya.

Moja ya kero kubwa ktk kijiji cha ifugandi ni barabara.
Ikuwezekana fika kijinini hapo kwa kushtukiza, maana ukitangaza watarekebisha hyo njia.

Nimesikitika kufika kijijini hapo nakuona uwekezaji mkubwa wa madini lkn wananchi hata barabara hawana huku wakilalamikia serikali kuwa haiwajari, siyo kweli km haiwajari, naona niuwakirishi usioridhisha wa watendaji wanaomsaidia mh. Rais ktk ngazi za chini na hasa wilaya.

Naomba kuwasirisha tafadhari.
Enzi na Enzi
Dar es salaam.
 
Nitawasilisha

Back
Top Bottom