𝗞𝗔𝗞𝗔 𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 ALHAAJI IBRAHIM MOHAMMED SHAYO ..
Tumaini pekee la vijana wa moshi kiongozi wa mfano kiongozi asiekuwa na makuu kiongozi wa watu wa rika zote vijana,wazee,mpaka watoto.
Amekuwa akijitolea sana kwa wananchi wa moshi na mkoa wa kilimanjaro kwa ujumla kwa hali na mali katika chamgamoto moja moja ya wakazi wa moshi
Amekuwa ni sehemu ya faraja katika hali za majonzi,,,
Ameongeza ajira wa vijana hususani kupitia kampuni yake ya Ibraline feling station kwa kuajiri vijana katika kila sekta..
Kila kona ya mji wa moshi ni 𝗞𝗔𝗞𝗔 𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗔𝗡𝗔𝗘𝗧𝗔𝗝𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗠𝗞𝗪𝗔 .
𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗬𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗦𝗜 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗠𝗨𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗡𝗢 𝗘𝗡𝗬𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗢𝗦𝗛𝗜 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗩𝗬𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗔𝗙𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗜𝗕𝗥𝗔𝗟𝗜𝗡𝗘 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗣𝗢 𝗦𝗧𝗔𝗡𝗗 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗢𝗬𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗟𝗘 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗣𝗢 𝗦𝗧𝗔𝗡𝗗 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗦𝗨𝗡𝗜.
..... 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨𝗡𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔......