Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............."
Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya maji, na mengineyo.
Mtu mmoja akashika mike akasema,"Mkuu wa mkoa,Kijiji chetu kilikuwa cha amani,lakini sasa amani imetoweka kwa ajili ya vijana,Panya Road. Jana wamemkaba ndugu yangu anafanya kazi ya wakala wa simu,wamemuibia sh.milioni mbili...............wanakaba watu, wanabaka wanawake,siku hizi hata wanaume wanabakwa."
Basi Mkuu wa mkoa akasema,"Kamanda,sitaki watu wangu wapate shida. Anza patrol leo usiku,anza mshike,mshike......."